Suala la satelaiti linaungwa mkono na wengi hususani watumiaji kuwa linaweza kuwa suluhu ya changamoto ya mtandao ...
“Kwa mara ya kwanza Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imetoa Sh100 bilioni kwa ajili ya mtaji wa MSD. Nimepata fedha ...
Hii ni baada ya wavuvi zaidi ya 100,000 mkoani Kigoma kudaiwa kuathirika na ongezeko hilo huku kaya 214 za Muleba Mkoa wa ...
Amesema kuwa katika msimu uliopita alivuna tani 4.3 ambapo aliuza kwa Sh4,000 na mwaka huu ana matumaini kupata zaidi ya ...
Miongoni mwa huduma za uchunguzi na matibabu yatakayotolewa ni ya wanawake, wajawazito, watoto njiti, dawa za usingizi, ganzi ...
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart), Athuman Kihamia, akizungumza na gazeti Dada la The Citizen ...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amesema mtambo huo wa kuzima moto kwenye majengo marefu ni wa pili nchini ambapo ...
Hii ni mara ya tatu mfululizo kwa Yanga kutwaa taji la Ligi Kuu baada ya kuchukua katika misimu ya 2021/2022 na 2022/2023.
Baadhi ya wajumbe wa jukwaa la matumizi ya tehama kwenye elimu lililoundwa kukuza sekta ya elimu mkoani Iringa katika picha ...
Awali, kiongozi huyo aliwataka wamiliki wa mashamba wasiolipa kodi kufanya hivyo ili waepuke kuburuzwa mahakamani kwa mujibu ...
Kupitia mkakati wa nishati safi, changamoto zilizotajwa ni uelewa mdogo wa wananchi na taasisi kuhusu umuhimu wa matumizi ya ...
Mradi huo ulioanza kutekelezwa na Kampuni ya Kichina ya Sichuan Road and Bridge Group (SRBG) tangu Novemba 2023, unatarajiwa ...